CCM YALAZIMIKA KUWAPISHA WAFANYABIASHARA UKUMBI WA MIKUTANO BAADA YA KUGONGANA UJIO WA WAZIRI MKUU
Hali hiyo imetokea November 12 ...2026 wakati watu hao walipojikuta kwa pamoja wamekutana katika ukumbi mmoja wa mikutano wa Turbo wakitaka kufanya vikao wakijiandaa na ziara ya waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Mwigulu Nchemba anaetarajiwa kuwasili Mkoani Njombe November 14 2026 jumamosi hii kwa ziara rasmi ya kikazi.
Akizungumza katika mkutano Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi Kata ya Njombe Mjini ndugu Willy Kiswaga amesema serikali ni ya wananchi na chama cha Mapinduzi kinajali watu wake na ndio sababu ya wao kama wazazi na wenye mamlama kutambua umuhimu kwanza wa watu wake.
“Hivyo tumelazimika kutafuta ukumbi mwingine katika ofisi za chama chetu ili wafanyabiashara waendelee na maandalizi mazuri ya kumpokea waziri wetu Mkuu”
Mpaka sasa vikao vya makundi mbalimbali ya wadau wa maendeleo, viongozi wa kiserikali na chama wanaendelea na vikao.
Kiswaga amewataka wajumbe wote wakikao hicho kilichowakutanisha wenyeviti wa serikali za mitaa, makatinu wenezi na mabalozi kuhakikisha kila mmoja anakwenda kuwajibika katika eneo lake ili kuhakikisha waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anapata heshima ya mapokezi makubwa ya ziara yake na chama cha mapinduzi kinasimamia suala hilo.
Waziri Mkuu Dk Mwigulu Nchembe anatarajia kuanza ziara yake ya kikazi November 14 2026 ambapo atazungumza na wananchi wa Njombe Mjini, Lupembe na Wilaya ya Ludewa pamoja na kuzindua miradi mbalimbali ya Maendeleo.Show More
CCM YALAZIMIKA KUWAPISHA WAFANYABIASHARA UKUMBI WA MIKUTANO BAADA YA KUGONGANA UJIO WA WAZIRI MKUU
Katika hali ya dharula Chama cha Mapinduzi Kata ya Njombe Mjini ...
MBUNGE EDWINE SWALE ALIVYOPOKELEWA KATIKA FINAL YA SWALE CUP MATEMBWE AKIWA NA MBUNGE WA VIJANA
MBUNGE SWALE NA MAELFU YA WANANCHI LUPEMBE WAJIANDAA KUMPOKEA WAZIRI MKUU WA TANZANIA MWIGULU NCHEMB
WAZIRI MKUU MWIGULU NCHEMBA AITAZAME INABEBA MALI ZA NCHI ASIMAMIE USHIRIKISWAJI WANANCHI LIGANGA
Katika kuangazia ujio wa waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa ...
TANZANIA INAVYOTENGEZA AJIRA ZA VIJANA KUPITIA TAASISI ZA ELIMU ZA WATOTO WADOGO HASA MKAONI NJOMBE
TAKUKURU NJOMBE YASAIDIA UREJESHWAJI WA SHILINGI MIL 15 ZA TAASISI YA BODI YA MAJI BONDE LA RUFIJI.
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Mkoani Njombe imetoa taarifa ...
CCM YAONYA WANAOUTAKA URAIS WATAJILAUMU! WANACHAMA WATAKIWA KUSUBIRI KUCHAGULIWA NA CHAMA
Chama cha Mapinduzi nchini Tanzania kimewaleza wanachama wake kua kama ...
BBC ILIKUA IKINITEMBELEA SASA NINAUONI HAFIFU SIWEZI TENA KUFANYA KAZI YANGU NAHITAJI MSAADA
Kama ulifika kituo cha mabasi zamani Mjini Njombe yaani Stendi ya ...
MAKANISA YAITAKA SERIKALI YA TANZANIA KUWALETA PAMOJA WANANCHI KUFANIKISHA MALEZI BORA YA WATOTO
Vituo vya 5 vya maendeleo ya mtoto na Kijana vilivyochini ya makanisa ...
TIBAP INAKOPESHA RIBA NI ASILIMIA 2.5 MZAZI ACHA KUSHANGAA MPELEKE MWANAO NA UPATE MKOPO JUU
TIBAP YAFANYA MAHAFALI YA DAY CARE 2026 HII NI TAASISI INAYOTOA ELIMU ...
MTAYARISHAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA AFUNGA NDOA AKISIFU UTUMISHI WA BAZOLO MTUMISHI WA MUNGU
MTAYARISHAJI WA MUZIKI WA INJILI TANZANIA AFUNGA NDOA AKISIFU UTUMISHI ...
SERIKALI MGUU SAWA MIKOPO YA ASILIMIA 10 NJOMBE MJINI YAITA VIJANA YATOA ELIMU
Makundi mbalimbali ya wajasiriamali Kata ya Njombe Mjini waliojiunga ...