JE NI YEPI MAONI YAKO KUHUSU ONGEZEKO LA RADIO STATION MKOANI NJOMBE NA HAMA HAMA YA WATANGAZAJI?
Mbali na ...hilo amasema wamiliki wa vyombo vya habari sasa wanatakiwa kufanya uwekezaji mkubwa na kuboresha maslahi ya wanahabari.
Mbali na hilo September 19, 2026 Uplands Fm wanatarajia kufanya uzinduzi rasmi kwa Jukwaa hilo kwa mwaka huu ambao utafanyika Kata ya Ramadhani Njombe Mjini..
Amelitaja jukwaa hilo kua ni sehemu itakayowawezesha wananchi katika makundi mbalimbali kupata fursa ya kupata ujuzi na kukuza Thamani katika shughuli zao za kiuchumi hivyo wananchi wametakiwa kujitokeza kwa wingShow More




















