• About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Friday, July 10, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Habari

Mali za Sh.Bilioni 3.3 yakiwemo ‘majumba’,magari yataifishwa,ni za wahalifu wa dawa za kulevya   

Limo jahazi na pikipiki

by bajeti
July 8, 2026
in Habari
0
Kamishna Jenerali Lyimo:Serikali hairogwi hata siku moja,yakamata boti,magari na ‘kuwapukutisha mapapa ‘wa biashara ya dawa za kulevya

Gari aina ya Scania lenye namba za usajili wa Afrika Kusini  LN87XJGP ambalo lilikamatwa na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA) baada watuhumiwa wa biashara hiyo kuweka dawa za kulevya katika chassis ya gari hilo ambalo linadaiwa pia kutumika kusafirisha dawa za hizo ndani na nje ya nchi(Picha na DCEA)

Share on FacebookShare on Twitter

NA GOODLUCK HONGO

SERIKALI imeendelea kupambana na wahalifu wanaojihusisha na dawa za kulevya ili kulinda afya za watanzania kwa kuwashughulikia kila kona ili watafute shughuli zingine za kujipatia kipato.

Dawa za kulevya ambazo zimekuwa zikiathiri zaidi nguvu kazi ya Taifa ambao ni vijana imesababisha mzigo mkubwa katika familia za kuwatunza waraibu wa dawa hizo huku wauzaji wakiishi maisha ya anasa kwa kumiliki magari,majumba na mali zingine nyingi za thamani.

Katika kupambana na wahalifu hao licha ya kukamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria lakini pia pale wanapopatikana na hatia,mali zao zote hutaifishwa.

Katika Taarifa ya Hali ya Dawa za Kulevya  ya Mwaka 2025 iliyotolewa Mei 2026 na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeleeza kuwa katika kuendeleza hatua za kukabiliana na uhalifu wa dawa za kulevya,mali zenye thamani ya Sh.Bilioni 3.3 zilitaifishwa.

Taarifa hiyo iliyowekwa saini na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu(Sera,Bunge ,Uratibu na Wenye Ulemavu) Prof.Palamagamba Kabudi na Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA)Aretas Lyimo imebainisha kuwa moja ya mali zilizotaifishwa ni pamoja na jahazi.

“Katika kuendeleza hatua za kukabiliana na uhalifu wa dawa za kulevya,Mahakama Kuu Division ya Rushwa na Uhujumu Uchumi ilitoa maamuzi ya kutaifishwa kwa mali za watuhumiwa wa biashara ya dawa za kulevya zenye thamani ya Sh.Bilioni 3.3”

“Mali zilizotaifishwa ni magari 16,nyumba 12,viwanja 11,pikipiki mbili na jahazi moja”imebainisha taarifa hiyo

Next Post
Rais Samia anavyoiheshimisha NHC,yaendelea kutimiza maono ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

Rais Samia anavyoiheshimisha NHC,yaendelea kutimiza maono ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:383
  • Today's page views 385
  • Total visitors 20,694
  • Total page views 23,068

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In