Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Serikali na Dini akiwemo Makamu wa Rais Dkt.Philip Mpango,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Mwinyi(wa kwanza kulia),Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt.Emmanuel Nchimbi wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika Kanisa la Mt.Francis Xavier Nyakahoga mkoani Mwanza October 14,2024.
Discussion about this post