Mawaziri kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) wakishiriki kikao cha Kamati ya Pamoja ya Fedha na Uchumi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SJMT) na SMZ kilichofanyika Oktoba 18,2024 jijini Dodoma.Kutoka kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Harusi Said Suleiman, Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Omar Said Shaaban na Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Shamata Shame Khamis(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira)
Discussion about this post