Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdullah wakiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar mara baada ya kumalizika kwa kikao cha Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kilichofanyika Jijini Dodoma Desemba 06,2022.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Discussion about this post