Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwa na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Mussa Azzan Zungu(wa sita kulia), Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa (wa nane kulia), Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango pamoja na viongozi wengine wakati akikata utepe kuashiria kupokea ndege mpya ya abiria aina ya Boeing 737- MAX9 iliyowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Terminal 1) Jijini Dar es salaam Oktoba 3,2023.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Discussion about this post