Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson (wa kwanza kulia), akifuatilia Mkutano wa 66 wa kibunge wa Jumuiya ya Madola (CPC) unaoendelea Oktoba 5, 2023 jijini Accra nchini Ghana. Kulia kwa Spika Dkt. Tulia ni Mbunge Abdallah Mwinyi, Dkt. Alice Kaijage na Dkt. Pius Chaya.(Picha na Ofisi ya Spika)
© 2025 Bajeti
Login to your account below
Remember Me
Please enter your username or email address to reset your password.
Discussion about this post