Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais(Muungano na Mazingira) Dkt Selemani Jafo wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume – Zanzibar Januari 11, 2024 ambapo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Skuli ya Elimu Mjumuisho ya Jendele iliyopo Wilaya ya Kati, Unguja ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Discussion about this post