• About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Tuesday, January 13, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Habari

TBN yaonya Manabii,Mitume wanaotabiri,PDPC yasema wanavunja sheria na kuhatarisha usalama

by bajeti
August 11, 2025
in Habari
0
TBN yaonya Manabii,Mitume wanaotabiri,PDPC yasema wanavunja sheria na kuhatarisha usalama

Mkuu wa Mawasilianio Serikalini,Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) akizungumza na Mtandao wa Mabboga Tanzania (TBN) hawapo [pichani) Agosti 11.2025 mkoani Dar es salaam wakati wa mafunzo kuhusu Uchaguzi Mkuu yaliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)

Share on FacebookShare on Twitter

NA MWANDISHI WETU

MTANDAO wa Bloga Tanzania (TBN) umeonya juu ya watu  wanaojiita Manabii na Mitume kisha kutabiri vitu mbalimbali ikiwemo vifo kwa baadhi ya watu na viongozi wa kitaifa na kutaka wachukuliwe hatua.

Kauli ya TBN imekuja wakati ambapo kumekuwa na ongezeko la manabii wanaotabiri mambo mbali ya kitaifa na watu binafsi  kupitia mitandao ya kijamii na bila kuchukuliwa hatua za kisheria ili hali utabiri wao unaleta hataruki kwa Taifa na jamii kwa ujumla.

Kauli hiyo imetolewa Agosti 11,2025 mkoani Dar es Salaam wakati wa mafunzo ya mabloga kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 yaliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)

Wamesema tabiri hizo zinawatia hofu wananchi na zimekuwa kero kwa namna moja ama nyingine ikiwa hatua hazitachukuliwa basi hilo ni janga kubwa linalokuja  kutokea hivyo  TCRA na Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) kukuchukua hatua.

Akizungumzia hali hiyo Mkuu wa Mawasiliano  Serikalini, Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) Innocent Mungy,amesema  kutoa unabii ni taarifa binafsi  na inatia hofu wananchi ikiwemo kuathiri hata usalama wa nchi

“Ukisema mtu anaumwa au atakufa ni kosa kisheria,unaleta taharuki kwa familia,nchi na hata usalama.

“Utabiri unaleta hofu katika nchi”amesema Mungy

Mungy amebainisha kuwa Sheria  ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi  inakataza mtu kuzungumziwa kuhusu afya yake, mwenendo, au taarifa zake binafsi kutolewa bila ridhaa yake.

Mungy ameongeza kuwa sheria hiyo ina adhabu ikiwemo faini kali na lazima ifuatwe na kila mtu, si tu mabloga na waandishi wa habari.

Mafunzo hayo yaliyoratibiwa na TCRA, yalilenga kuwaandaa mabloga kuripoti habari za Uchaguzi Mkuu  wa 2025 kwa kufuata maadili ya uandishi wa habari pamoja na  kulinda usalama wan chi..

 

Next Post
‘Ngome ya Mama’ yaandaa kongamano la Nishati Safi ya kupikia

'Ngome ya Mama' yaandaa kongamano la Nishati Safi ya kupikia

CCM waanza ‘kumiminika’INEC

CCM waanza 'kumiminika'INEC

ADA-TADEA yataja sababu za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kuwa huru na haki

ADA-TADEA kuzindua kampeni  Mbagala

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:5
  • Today's page views 5
  • Total visitors 13,061
  • Total page views 14,806

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In