• About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Thursday, October 22, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Habari

Bunge kupokea maoni kuhusu Bunge kuridhia Mkataba wa Umoja wa Afrika juu ya Usalama wa Mtandao na Ulinzi wa Taarifa Binafsi wa Mwaka 2014

by bajeti
October 21, 2026
in Habari
0
Bunge kupokea maoni kuhusu Bunge kuridhia Mkataba wa Umoja wa Afrika juu ya Usalama wa Mtandao na Ulinzi wa Taarifa Binafsi wa Mwaka 2014

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mussa Zungu

Share on FacebookShare on Twitter

NA MWANDISHI WETU,DODOMA

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imepanga kupokea maoni ya wadau  kuhusu Bunge kuridhia Mkataba wa Umoja wa Afrika kuhusu Usalama wa Mtandao na Ulinzi wa Taarifa Binafsi wa Mwaka 2014 [The African Union Convention on Cyber Security and Personal Data Protection, 2014].

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Oktoba 20,2026 jijini Dodoma na Kitengo cha Mawasiliano na Elimu kwa Umma cha Ofisi ya Bunge, imeeleza kuwa mkutano wa kusikiliza na kupokea maoni ya wadau kuhusu Bunge kuridhia Mkataba huo utafanyika tarehe 26 Oktoba, 2026 kuanzia saa 4:00 asubuhi, katika  katika Jengo la Utawala.

“Kwa kuzingatia umuhimu wa ushiriki wa wananchi, Kamati inawaalika watu wenye maoni kufika katika Mkutano huo na kuwasilisha maoni yao kabla ya Azimio kupelekwa katika hatua nyingine.”Imeeleza taarifa hiyo

Aidha, maoni yanaweza pia kuwasilishwa kwa njia ya posta kupitia anuani ya Ofisi ya Bunge au kupitia barua pepe ambapo mkataba husika unapatikana pia katika tovuti ya Bunge

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:1
  • Today's page views 1
  • Total visitors 22,695
  • Total page views 25,301

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In