
Waandishi wa habari kutoka Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira (JET) (waliosimama)wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa JET John Chikomo (kushoto),Mkuu wa Chuo cha Misitu,Wanyamapori na Utalii katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)Prof. Suzana Augustino (katikati) na Mkurugenzi wa Kituo cha Kitaifa cha Kufuatilia Kaboni (NCMC) Prof.Eliakim Zahabu wakati wa semina ya kuwajengea uwezo juu ya soko la kaboni iliyofanyika SUA mkoani Morogoro juzi. (Picha na mpigapicha wetu)
Discussion about this post