• About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Tuesday, January 13, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Mazingira

Moto wakimbiza maelfu ya watu Ugiriki

by BAJETI
August 9, 2021
in Mazingira
0
Share on FacebookShare on Twitter

ATHENS,UGIRIKI

MOTO unaoendelea kuwaka katika misitu nchini Ugiriki umewalazamishamaelfu ya watu kuyahama makazi yao.

Moto huo unaoendelea kuwaka kwa siku ya sita sasa kutokana na kuongezeka kwa viwango vya joto nchini na baadhi ya nchi zingine  unaelezwa  kusababishwa na mabadiliko ya tabia nchi yanayoendelea duniani hali inayosababisha kupanda kwa viwango vya joto..

Katika Kisiwa cha Evia nchini Ugiriki moto huo wa msituni ukiwa unaendelea kuwaka kwa siku ya sita mfululizo. vivuko na boti ndogo zimekuwa yakifanya kazi ya kuwavusha watu baharini na kuwapeleka kwenye maeneo salama.

Moto huo ambao ulitishia kuteketeza vitongoji vya kaskazini mwa mji mkuu wa Athens ulipungua kazi siku chache zilizopita.

Lakini badala yake ulizuka katika kisiwa kikubwa cha Evia mashariki mwa mji huo, chenye maelfu ya hekta za msitu katika upande wake wa kaskazini.

Serikali ya Ugiriki imepeleka wanajeshi kusaidia kupambana na moto huo.

Aidha nchi kadhaa zikiwemo Ufaransa, Misri, Uswizi na Uhispania pia zimetuma msaada ikiwa ni pamoja na ndege za kuzimia moto.

Wakati huo huo Kuwait imetuma timu ya kuzima moto ya watu 45 kwenda Uturuki kusaidia vita dhidi ya moto wa misitu.

Uturuki inaendelea kupata msaada kutoka nchi nyingi kwa ajili ya kendeleza mapambano yake dhidi ya moto wa misitu.

Mkuu wa Kikosi cha Zimamoto cha Kuwait Khalid Mikrad amesema timu ya wazima moto 45 itatumwa Uturuki leo kusaidia vita dhidi ya moto wa misitu.

Mikrad alifafanua kuwa timu kama hiyo itapelekwa Ugiriki na ndege ya jeshi kupambana na moto wa misitu.

Next Post

Wanasayansi:Joto la dunia limeongezeka

Maonesho ya vitabu kimataifa kufanyika Dar es Salaam

Makalla amshukuru Rais Samia kuongeza bajeti ya TARURA

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:9
  • Today's page views 9
  • Total visitors 13,065
  • Total page views 14,810

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In