• About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Tuesday, January 13, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Mazingira

Dkt.Chana:Maliasili yatengewa bajeti zaidi ya Sh.Bilioni 600

by bajeti
August 2, 2022
in Mazingira
0
Dkt.Chana:Maliasili  yatengewa bajeti zaidi ya Sh.Bilioni 600

Waziri wa Katiba na Sheria Balozi Dkt Pindi Chana

Share on FacebookShare on Twitter

NA MIRIAM SARAKIKYA, ARUSHA

SERIKALI imetenga bajeti ya   zaidi ya Sh. Bilioni 600 katika Wizara ya Maliasili na Utalii ambapo pamoja na kutumika katika maeneo mengine lakini pia baadhi ya fedha hizo zitatumika kutunza na kuhifadhi sehemu za  historia na Male Kale nchini.

Hayo yameelezwa na  Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana wakati akifungua mkutano wa nane  wa  Jumuiya ya Wataalamu na Watafiti wa Mambo ya Kale uliofanyika mkoani Arusha jana.

Waziri Dkt.Chana amesema Tanzania ina hazina ya historia ya masuala ya masalia ya Mali kale na kuna tafiti na taarifa mbalimbali  za masalia ya Mali kale katika maeneo tofauti nchini ikiwemo Olduvai Gorge huku wataalamu wakiendelea kuvumbua masalia mbalimbali ya Mali kale .

Amebainisha  suala la Mali Kale ni moja ya vipaumbele ambavyo kwa sasa wanaendelea kuvionyesha kwa watu duniani kote na kuendelea kutoa mwaliko kwa watalii kuja Tanzania kuona maeneo ya utalii wa utamaduni ikiwemo  Mali kale

Kwa upande wake Mkufunzi  wa Chuo Kikuu Cha Indiana nchini  Marekani Prof. Jackson Njau ameeleza namna Jumuiya hiyo ya Wataaluma wa Mambo ya Kale ya Jiolojia wanavyofanya  tafiti zao katika Bonde la Ufa kuanzia Ethiopia,Kenya na Tanzania

Aidha Prof. Njau amebainisha kuwa  Jumuiya hiyo iliyoanzishwa na wanasayansi wenye asili ya afrika mnamo mwa 2007 kwa lengo la kuwaleta pamoja watafiti ,wahifadhi ,walimu wanafunzi na wasimamizi na watunga sera katika taaluma za akiolojia ,na jiolojia katika bonde la ufa.

Ameongeza kuwa lengo la kuwaleta pamoja ni  waweze kujumuika na kubadilishana mawazo ikiwemo kushirikiana katika teknolojia mpya ya fani  za Mali kale .

Next Post
Mkandarasi apewa siku 14 kukamilisha mradi EBARR

Mkandarasi apewa siku 14 kukamilisha mradi EBARR

Ziara Kilimanjaro

Walionusurika bomu la nyuklia waandamana wakitaka yatokomezwe

Walionusurika bomu la nyuklia waandamana wakitaka yatokomezwe

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:5
  • Today's page views 5
  • Total visitors 13,061
  • Total page views 14,806

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In