• About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Tuesday, January 13, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Michezo

Waziri Mchengerwa aitaka Klabu ya Fenerbehche ya Uturuki kuweka kambi Tanzania

by bajeti
October 4, 2022
in Michezo
0
Waziri Mchengerwa aitaka Klabu ya Fenerbehche ya Uturuki kuweka kambi Tanzania

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa (wa tano kulia) akiwa na viongozi wa timu ya mpira wa miguu ya Fenerbehche ya nchini Uturuki leo Oktoba 4,2022 baada ya kufanya ziara katika kambi ya timu hiyo.(Picha na Wizara ya Utamaduni,Sanaa na Michezo)

Share on FacebookShare on Twitter

ANKARA,UTURUKI

WAZIRI  wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa, ameitaka klabu ya Fenerbehche ya Uturuki, kuja nchini Tanzania na kuweka kambi ya msimu mpya wa ligi kwa mwaka ujao.

Mbali na kuitaka klabu hiyo kongwe zaidi duniani katika historia ya mpira wa miguu,wamekubaliana pia kushirikiana katika maeneo ya mafunzo, kambi na ujenzi wa shule za michezo.

Akizungumza  leo Oktoba 4,2022 nchini Uturuki katika kikao kilichoongozwa na Mjumbe wa Bodi ya Klabu hiyo anayeshughulikia Masuala ya Kimataifa, Bekir Irdem, Waziri Mchengerwa ameikaribisha klabu hiyo kuja kuweka kambi ya msimu mpya mwakani nchini Tanzania na kuishukuru klabu hiyo kwa kuwahi kuwa na mchezaji kutoka Tanzania, Mbwana Sammatta.

“Leo tu baadaye tutakuwa na kikao cha Bodi na nitawasilisha mapendekezo haya ili tuweze kuanza ushirikiano wetu mara moja,” amesema Irdem.


Katika ziara hiyo Waziri Mchengerwa ameambatana na Balozi wa Tanzania nchini Uturuki Lt. General Yacoub Mohammed na Katibu Mkuu, Dkt. Hassan Abbasi

Kupitia ziara hizo,watanzania wanaweza kunufaika zaidi na uwekezaji utakaofanywa na klabu hiyo nchini ikiwemo kuweka kambi kwa ajili ya msimu ujao wa ligi ya nchi hiyo.

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa (kushoto) akipata maelezo ya nguo (jezi) za wachezaji kutoka kwa
Mjumbe wa Bodi
wa klabu maarufu duniani ya Fenerbehche kutoka nchini Uturuki anayeshughulikia Masuala ya Kimataifa, Bekir Irdem mara baada ya kuitembelea klabu hiyo na kujiona mbalimbali ikiwemo uwanja wao wa nyumbani.(Picha na Wizara ya Utamaduni,Sanaa na Michezo)
Next Post
Rais Samia kufungua mkutano wa 65 wa  UNWTO

Rais Samia kufungua mkutano wa 65 wa UNWTO

Rais Samia atoa bilioni mbili ujenzi vyumba vya madarasa Arusha

Rais Samia atoa bilioni mbili ujenzi vyumba vya madarasa Arusha

Serikali yaanzisha miradi 76 ya Utalii na Utamaduni

Serikali yaanzisha miradi 76 ya Utalii na Utamaduni

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:0
  • Today's page views 0
  • Total visitors 13,056
  • Total page views 14,801

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In