Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam(DAWASA) Mhandisi Crypian Luhemeja wakati alipotembelea mitambo ya uzalishaji Maji ya Ruvu Chini iliopo mkoani Pwani Novemba 9, 2022.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
© 2025 Bajeti
Login to your account below
Remember Me
Please enter your username or email address to reset your password.
Discussion about this post