Askari wa Jeshi la Polisi wa vyeo mbalimbali wa Makao Makuu ya Polisi jijini Dodoma wakiwa katika gwaride kabla ya kushiriki zoezi la upandaji miti katika maeneo ya viwanja vya kambi ya jeshi hilo iliyopo Medeli Kata ya Chadulu ili kuungana na watanzania katika kuazimisha miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Aprili 26,2023.(Picha na Benedict Mlawa wa Jeshi la Polisi)
© 2025 Bajeti
Login to your account below
Remember Me
Please enter your username or email address to reset your password.
Discussion about this post