Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wakiwa Uwanja wa Ndege wa Dodoma Aprili 30,2023 wakisindikiza mwili wa aliyekuwa Dobi Ofisi ya Makamu wa Rais Marehemu Jackson Mwakyelu aliyefariki kwa ajali ya gari usiku wa Aprili 28,2023 unaosafirishwa kuelekea Kyela mkoani Mbeya kwa ajili ya mazishi.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
© 2025 Bajeti
Login to your account below
Remember Me
Please enter your username or email address to reset your password.
Discussion about this post