• About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Thursday, January 22, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Habari

Google yaipongeza bajeti.co.tz

by bajeti
June 18, 2023
in Habari
0
Google yaipongeza bajeti.co.tz

Cheti cha hongera cha Google kwa BAJETI.CO.TZ kilichotolewa Juni 12,2023.

Share on FacebookShare on Twitter

NA MWANDISHI WETU

KAMPUNI ya Google kutoka nchini Marekani imetambua mchango unaotolewa na tovuti ya habari ya BAJETI.CO.TZ baada ya kuitunuku cheti cha hongera kutokana na watu wengi kuifuatilia bila kupewa kiunganisho(link) kupata taarifa zake .

Bajeti.co.tz inayochapisha taarifa zake kutoka jijini Dar es Salam nchini Tanzania-Afrika Mashariki imekuwa ikifuatilia na maelfu ya watu kutoka pembe mbalimbali za dunia  kutokana na usahihi wa taarifa zake.

Akizungumzia  jijini Dar es Salaam Juni 16,2023 mara baada ya kupokea cheti hicho,Mkurugenzi wa Bajeti Communication  inayoendesha tovuti hiyo, Goodluck Hongo amesema ni jambo la furaha kuona Kampuni kubwa duniani kama  Google kuitunuku cheti cha hongera tovuti yao ya BAJETI.CO.TZ  kwa kuvuka viwango ilivyoweka.

“Mimi na timu nzima ya BAJETI COMMUNICATION tumefurahi sana kupokea cheti cha hongera kutoka Kampuni maarufu duniani ya Google kwa kutuona sisi BAJETI bila kuwepo kwa upendeleo kwa kuwa wanaotumia huduma za Google ni watu wote duniani.

“Tunawashukuru Google kwa zawadi hii,tunasema asante sana Google na hongera hizi  itakuwa ni chachu kwetu kuongeza juhudi zaidi za kazi ili dunia iendelee kuitumia Bajeti.co.tz kama chanzo cha taarifa sahihi zenye kujenga,kuelimisha, na wakati mwingine kuhimiza amani ili dunia iwe sehemu salama ya kuishi lakini pia ni hongera  za watanzania wote na nchi yetu Tanzania.

“Kutokana na hongera hizi tunafikiria kuweka pia na mfumo wa lugha zingine kama Kiingereza ili wale wasiojua Kiswahili  basi watasoma kwa lugha zingine”amesema Hongo

Bajeti.co.tz ni tovuti ya habari iliyochini ya Bajeti Communication yenye makao yake makuu jijini Dar es Salaam nchini Tanzania,Afrika Mashariki ambayo hutoa taarifa zake kwa lugha ya Kiswahili.

Next Post
Finland kuzinyima misaada nchi za kiafrika zilizogoma kuipinga Urusi

Finland kuzinyima misaada nchi za kiafrika zilizogoma kuipinga Urusi

Mradi Kituo cha Utafutaji na Uokoaji Ziwa Victoria kati ya Tanzania na Uganda,viongozi wafanyia shughuli zao Kenya

Mradi Kituo cha Utafutaji na Uokoaji Ziwa Victoria kati ya Tanzania na Uganda,viongozi wafanyia shughuli zao Kenya

Putin:Tutailinda nchi yetu dhidi ya uhaini

Putin:Tutailinda nchi yetu dhidi ya uhaini

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:18
  • Today's page views 18
  • Total visitors 13,277
  • Total page views 15,025

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In