Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) wakiwa katika gwaride la heshima kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,Samia Suluhu Hassan Julai 14,2024 kabla ya kuzindua jengo la Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi (halimo pichani) ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake mkoani humo. Ujenzi wa Jengo hilo la kisasa umegharimu Sh. Bilioni 1.4.
© 2025 Bajeti
Login to your account below
Remember Me
Please enter your username or email address to reset your password.
Discussion about this post