• About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Thursday, January 22, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Siasa

CHAUMMA:Hatma ya maisha ya watanzania ni Oktoba 29,2025

by bajeti
September 17, 2025
in Siasa
0
CHAUMMA:Hatma ya maisha ya watanzania ni Oktoba 29,2025

Mgombea Urais Kupitia Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalimu akiwasili mkoani Geita Septemba 16,2025 ili kuomba wananchi wakichague chama hicho wakati wa kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29,225.

Share on FacebookShare on Twitter

NA MWANDISHI WETU, GEITA

MGOMBEA nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalimu amesema hatma ya maisha ya watanzania ni Oktoba 29,2025 kuamua yabadilike au yabakie yalivyo.

Mwalimu ameyasema hayo Septemba 16,2025 mkoani Geita wakati akiwahutubia wakazi wa mji huo na kuwaomba kukichagua chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29,2025

Mgombea Urais Kupitia Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalimu akiwasili mkoani Geita Septemba 16,2025 ili kuomba wananchi wakichague chama hicho wakati wa kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29,225,

“Hatima ya maisha yako 2025 , 2030 yapo mikononi mwako kuchagua yabadilike kiuchumi na kijamii au kuacha yaendelee yalivyo sasa,
“Geita kama ilivyo mikoa mingine yenye dhahabu nyingi, lakini haina kielelezo chochote cha kuonyesha  alama ya madini hayo,
“Ninawaomba sana hatima ya maisha yetu ni Oktoba 29 mwaka huu, nendeni mkaichague CHAUMMA iweze kuimarisha hali nzuri za maisha yenu,maana kama mna dhahabu na samaki wengi lakini hamna viwanda vya kuchakata haina maana” amesema Mwalimu

Mgombea nafasi ya Urais Kupitia Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalimu akiwahutubia wakazi wa Mkoa wa Geita Septemba 16,2025 ili kuomba wakichague chama hicho wakati wa kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29,225

.Hata hivyo amebainisha kuwa CHAUMMA kipo tayari kupamba na umaskini wa watanzania lakini pia kuandika Katiba Mpya.

 

 

Next Post
Ajali iliyohusisha Bajaji yauwa watu watano Songwe

Adaiwa kumuua mwenzie kisa ushabiki wa timu za Simba na Yanga

Makamu wa Rais Dkt.Mpango azungumza na Balozi Mteule wa Tanzania nchini Japan

Makamu wa Rais Dkt.Mpango azungumza na Balozi Mteule wa Tanzania nchini Japan

Serikali ya ADA-TADEA kuwalipa askari walioshiriki vita vya Kagera

Serikali ya ADA-TADEA kuwalipa askari walioshiriki vita vya Kagera

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:17
  • Today's page views 17
  • Total visitors 13,276
  • Total page views 15,024

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In