Rais Masoud Pezeshkian wa Iran akihutubia mkutano wa 81 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) na kuwaonesha wajumbe wa mkutano huo kitabu chenye picha ya aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Taifa hilo hayati Ayatollah Sayyed Ali Khamenei siku ya kwanza ya vita vya siku 40 vya mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran
Discussion about this post