Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akiwaongoza viongozi, maafisa , askari na wananchi mbalimbali kuimba wimbo wa Taifa mara alipowasili katika viwanja vya Hifadhi ya Taifa ya Mikumi mkoani Morogoro leo Agosti 17, 2022 katika hafla ya kukabidhi Malori maalum kwa Hifadhi za Taifa (TANAPA) yatakayotumika katika kuboresha Miundombinu ya Utalii yaliyotolewa na Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Utalii Kusini mwa Tanzania (REGROW).(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais.)
Discussion about this post