• About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Thursday, January 22, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Habari

Pikipiki zapigwa marufuku Afghanistan

by BAJETI
July 1, 2021
in Habari
0
Share on FacebookShare on Twitter

AFGHANISTAN imepiga marufuku matumizi ya wa pikipiki ikiwemo kusafiria katika  Mji Mkuu wa nchi hiyo Kabul.

Akizungumza na waandishi wa habari juzi Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi hiyo Tarık Aryen amesema  uendeshaji wa pikipiki ni marufuku katika maeneo ya Kabul na wilaya zingine za nchi hiyo.

Amesema  wanatarajia wananchi wataunga  mkono hatua hiyo na vikosi vya usalama na wale ambao watakiuka hatua hiyo pikipiki zao zitachukuliwa

Hata hivyo sababu za kiusalama ndio zilizosababisha hatua hiyo baada ya kundi la Taleban kuongeza mashambulizi zaidi dhidi ya maeneo yanayomilikiwa na serikali ya nchi hiyo

Wakati mchakato wa amani nchini Afghanistan bado hauna uhakika, mashambulizi yameonekana kuendelea.

Idadi ya wilaya zilizo chini ya udhibiti wa Taliban katika miezi miwili  iliyopita imezidi 45.

Kulingana na data ya Umoja wa Mataifa, Taliban inadhibiti asilimia 50 hadi 70 ya eneo la nchi hiyo, isipokuwa vituo vya mijini

Next Post

Mfuko wa Misitu wawezesha miradi zaidi ya 500 kuboresha maisha ya wananchi

TGDC: Megawati 5000 nishati ya jotoardhi hazijaendelezwa

Bwawa la Kuzalisha Umeme la Julius Nyerere kujazwa maji ifikapo Novemba

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:18
  • Today's page views 18
  • Total visitors 13,277
  • Total page views 15,025

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In