• About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Tuesday, January 13, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Makala

Baba Mtakatifu ateuwa maaskofu Jimbo Kuu la Dar es Salaam.

by BAJETI
July 7, 2021
in Makala
0
Share on FacebookShare on Twitter

BABA Mtakatifu Fransisko amewateua  mapadre wawili kuwa Maaskofu Wasaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Julai 7,mwaka huu kwa vyombo vya habari mkoani Dar es Salaam na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC)  na kusainiwa na Katibu wa Baraza hizo   Padre Charles Kitima mapadre hao walioteuliwa kuwa Maaskofu ni wa Shirika la Waagustiniani(O.S.A)

Padre Kitima amewataja maaskofu wateule hao kuwa ni Mhashamu Askofu Henry Mchamungu na Askofu Stephano Lameck Musomba ambao watakuwa Maaskofu Wasaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam.

“Mhashamu askofu mteule  Henry Mchamungu alizaliwa Januari 18 mwaka 1965 huko Legho Kilema jimboni Moshi”amefafanua Padri Kitima

Amesema baada ya masomo yake ya upadre alipewa daraja takatifu la upadre Juni 24,1994 na kuhudumu katika nafasi mbalimbali za utume Jimbo Kuu la Dar es Salaam na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania.

“Hadi uteuzi wake ,askofu mteule alikuwa Mwalimu na mlezi Seminari ya Segerea ,Dar es Salaa.”amesema Padre Kitima

Padre Kitima aliongeza kuwa Mhashamu askofu mteule Stephano Lameck Musomba alizaliwa Septemba 25, 1969 huko Malonji jimboni Mbeya.

“Baada ya masomo yake ya upadre,alipewa daraja takatifu la upadre Julai 24,2003 na kuhudumu katika nafasi mbalimbali za utume wa Shirikani na jimboni Dar es Salaam na Morogoro.

“Hadi uteuzi wake,askofu mteule alikuwa Paroko wa Parokia ya Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya Asili-Mavurunza ,Dar es Salaam na Katibu wa Shirika lake la Waangustiniani Kanda ya Tanzania”amesema Padri Kitima

Next Post

Kwaya KKKT kuanzisha kiwanda cha kusindika nyama

Tani bilioni 8.5 za barafu zayeyuka baada ya joto kuongezeka Greenland.

Joto kali latishia uhai wa maelfu ya watu barani Ulaya

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:1
  • Today's page views 1
  • Total visitors 13,057
  • Total page views 14,802

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In