• About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Tuesday, January 13, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Makala

TAG yawataka waumini kuongeza maombi ili kuleta umoja katika jamii

by BAJETI
August 5, 2021
in Makala
0
Share on FacebookShare on Twitter

MCHUNGAJI Kiongozi wa Kanisa la Tanzania Assembles of God Lazaro Mgimwa amewataka waumini wa Kanisa hilo wawajibike kwa nguvu kuongeza maombi na kumhubiri Yesu Kristo ili Kanisa la Mungu lisimame kwa kuleta umoja na upendo.

Hayo ameyasema leo Kigezi Buyuni  jijini Ilala Mkoa wa Dar es Salaam wakati akifungua semina ya siku moja iliyofanyika kanisani hapo.

Mchugaji Mgimwa amesema kuwa semina hiyo itawasaidia waumini kusimama kwenye neno na kujiamini kwani Kanisa la sasa linahitaji uamsho wa maombi ili lisimame.

Amesema licha ya Kanisa kuhitaji uamsho wa maombi ili lisimame lakini pia uamsho huo usaidie katika kuleta umoja na upendo baina ya watanzania wote kupitia maombi.

“Hakuna kitu kinachohitajika kwa Kanisa kama uamsho wa maombi ya nguvu ya kumhubiri Yesu Kristo kwani baadhi ya wakristo ndani ya makanisa wekuwa wakilala na kujisahau wakati Mchungaji anatoa neno la Mungu.

“Baadhi ya waumini wakiingia katika ibada huwa wanapatwa na misongo ya mawazo na neno likianza tu kuhubiriwa wanapatwa na usingizi na mchungaji akihubiri neno haliwanufaishi wakristo wa namna hii”amesema Mchungaji Mgimwa.

Hata hivyo Mchungaji Mgimwa amelipongeza Kanisa la TAG kuadhimisha miaka 13 ya uamsho.

Next Post

Makalla:Tutaigaragaza Azam Media

Moto wakimbiza maelfu ya watu Ugiriki

Wanasayansi:Joto la dunia limeongezeka

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:0
  • Today's page views 0
  • Total visitors 13,056
  • Total page views 14,801

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In