• About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Saturday, May 9, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Sayansi na Teknolojia

DC Mjema awafunda TRA

by BAJETI
August 18, 2021
in Sayansi na Teknolojia
0
Share on FacebookShare on Twitter

NA MWANDISHI WETU ARUSHA

DC  Mjema awafunda TRA

MKUU wa Wilaya ya Arusha Sophia Mjema ameitaka Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) kukutana na wafanyabiashara ili waweze kujadili na  kujenga mahusiano bora katika utendaji wao wa kazi.

Mjema ametoa wito huo leo jijini Arusha mara baada ya kuzindua  kampeni ya kuhamasisha matumizi ya mashine za  kutolea risiri za kielektroniki (EFD) Kanda ya Kaskazini.

Mjema amesema  ametoa wito huo  kufuatia agizo  lililotolewa na Rais Samia Suluhu Hasan la kuitaka TRA kujenga mahusiano mazuri kati yao na wafanyabiashara.

Amefafanua kuwa TRA imekuwa na mchango mkubwa katika ukusanyaji wa kodi na tozo mbalimbali ambazo zimekuwa zikisaidia kwa kiasi kikubwa serikali ya awamu ya sita kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo hapa nchini.

Kwa upande wake Mkurugenzi Msaidizi anaehusika na ukusanyaji wa kodi mkoani Arusha Malaki Nyage amesema kampeni hiyo inalenga kutoa elimu kwa wafanyabiashara pamoja na kutambua umuhimu wa kutumia mashine za kutolea risiti ya EFD.

Naye mfanyabishara  Adeline massawe amebainisha  namna mashine za EFD zinavyofakazi ikiwemo  kuwasaidia wafanyabiashara kutunza kumbukumbu zao za malipo.

Next Post

Tetemeko laua watu 2000, lajeruhi 30,000 Haiti

Mabadiliko ya tabianchi yaathiri Sekta ya Kilimo Bara,Zanzibar wizi wa mazao wakithiri.

Makalla ataka waliojiunganishia mabomba ya mafuta wajisalimishe

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:5
  • Today's page views 5
  • Total visitors 16,131
  • Total page views 18,296

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In