• About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Tuesday, January 13, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Habari

Makalla ataka waliojiunganishia mabomba ya mafuta wajisalimishe

by BAJETI
August 20, 2021
in Habari
0
Share on FacebookShare on Twitter

NA MWANDISHI WETU

MKUU  wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amewataka watu wote waliojiunganishia mabomba katika bomba kuu la kusafirisha mafuta kutoka bandarini kuelekea kwa wafanyabiashara kujisalimisha mara moja.

Makalla ametoa agizo hilo leo August 20,2021 wakati  akikagua kifaa cha kisasa cha kubaini wizi na upotevu wa mafuta ghafi (Radio detector) kutoka bomba kuu la kupokea mafuta kutoka kwenye meli kuelekea kwa wafanyabiashara.

Amesema kupatikana kwa kifaa hicho kitasaidia kubaini wote walio na ya wizi na  kuchepusha mafuta kutoka bomba kuu ambapo kifaa hicho kinatarajiwa kuanza zoezi la ukaguzi muda wowote kuanzia sasa na kuwataka wale wote waliojiunganishia kujisalimisha.

Amesema hadi sasa tayari vyombo vya ulinzi na usalama vimewakamata na kuwafikisha mahakamani watuhumiwa wa wizi huo.

Makalla amewahakikishia wafanyabiashara wa nishati hiyo kuwa serikali imejidhatiti kumaliza kabisa tatizo la upotevu wa mafuta na anashukuru kuona hadi sasa kumekuwa na matokeo mazuri.

Hata hivyo ameipongeza TPA kwa mapinduzi makubwa ya maboresho ya huduma kwa Wananchi baada ya kutembelea ujenzi wa barabara za kuingia na kutoka bandarini na upanuzi wa eneo la kushusha na kupakia mizigo.

Next Post

Rais mstaafu ataka kujinyonga

Aliyepata chanjo ya COVID-19 kutambuliwa kimataifa

Sh.Bilioni 1.5 kuanza kutatua kero ya mafuriko Malinyi

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:0
  • Today's page views 0
  • Total visitors 13,056
  • Total page views 14,801

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In