Warning: Attempt to read property "child" on null in /home/bajetico/public_html/wp-content/themes/hilonga/class/ContentTag.php on line 45
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Tuesday, January 13, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Mazingira

Ugiriki yaelemewa na moto wa msituni

by BAJETI
August 18, 2021
in Mazingira
0
Share on FacebookShare on Twitter

ATHENS,UGIRIKI

UGIRIKI inaelekea kushindwa kuudhibiti moto wa msituni unaowaka katika maeneo mengi ya nchi hiyo unaotokana na kile kinachoelezwa kuwa ni kuongezeka kwa viwango vya joto la zaidi ya nyuzi 45 za celsius linalosababishwa na mabadiliko ya tabia nchi( hali ya hewa).

Idara ya zima moto ya nchi hiyo imesema wazima moto 330, magari 115 pamoja na helikopta sita zimetumwa katika eneo la Vilia kupambana na moto huo.

Hata hivyo serikali ya nchi hiyo imewahamisha maelfu ya watu kutoka vijiji kadhaa kaskazini mwa mji mkuu, Athens kutokana na moto unaoendelea kuwaka kwa siku ya pili leo.

Moto huo wa ajabu ulianzia katika eneo la Vilia,  jana Jumatatu muda mfupi tu baada ya moto mwingine kuwaka kusini mashariki mwa mji wa Athens, katika eneo la Keratea.

Idara ya zima moto imesema matukio hayo mawili ya moto ni miongoni mwa matukio mengine ya moto wa msituni iliyozuka kote nchini humo.

Awali Waziri wa usalama wa Raia wa nchi hiyo Mihalis Chrisohoidis alikiambia kituo kimoja cha luninga, kuwa wazima moto hao walipambana usiku kucha bila kupumzika kuzima moto huo katika maeneo mengine ya nchi hiyo yanayoendelea kuteketea na moto huo.

Kamanda wa vikosi vya wazimamoto nchini humo, Brigedia Jenerali Aristotelis Papadopoulos amesema Ugiriki inapita katika kipindi cha siku kigumu cha mawimbi ya joto kali zaidi ikilinganisha na miaka mengine 30 iliyopita.

Poland imetoa wazima moto  143 , wametumwa kama sehemu ya msaada wa kigeni kutoka mataifa ya Ulaya na Mashariki ya kati kuisaidia Ugiriki kukabiliana na moto huo  uliozuka nchini humo wiki mbili zilizopita

Baadhi ya nchi za Ulaya zinazopakana na bahari ya Mediterania, zikiwemo Italia, Albania na Macedonia Kaskazini pia zimekumbwa na janga hilo la moto wa msituni, na kitengo cha Umoja wa Ulaya cha kupambana na majanga kimesema kinapeleka msaada wa ndege na wataalamu wa kuzima moto.

Next Post

DC Mjema awafunda TRA

Tetemeko laua watu 2000, lajeruhi 30,000 Haiti

Mabadiliko ya tabianchi yaathiri Sekta ya Kilimo Bara,Zanzibar wizi wa mazao wakithiri.

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:1
  • Today's page views 1
  • Total visitors 13,057
  • Total page views 14,802

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In