• About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Thursday, January 22, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Habari

Akamatwa akipeleka mahari ukweni

by BAJETI
August 24, 2021
in Habari
0
Share on FacebookShare on Twitter

KATIKA  hali isiyokuwa ya kawaida mwanaharakati wa kikundi  cha kupambana na rushwa maarufu kama (Lucha) nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, (DRC) Ghislain Muhiwa amekamatwa  wakati akipeleka mahari kwa wakwe zake.

Vyombo vya habari nchini humo vimeripoti kuwa Muhiwa amekamatwa baada ya kumtuhumu mke wa Rais  wa nchi Felix Tshisekedi kwa ubadhirifu wa mali ya umma.

Mtuhumiwa huyo alikamatwa akiwa anaelekea Goma nchini humo kutoa mahari kwa wakwe zake.

Kundi la vijana la kupigania mageuzi, maarufu kamaLucha , linatuhumu kwamba taasisi inayosimamiwa na mke wa Rais, Denise Tshisekedi, imepora msaada uliyokuwa umelengwa kuwapa waathiriwa wa mlipuko wa volcano katika mlima Nyiragongo, mashariki wa nchi DRC.

Hata hivyo taasisi ya mke wa Rais huyo imekanusha tuhuma hizo za ubadhirifu wa mali ya umma.

Muhiwa anakuwa mwanachama wa pili wa kundi hilo kukamatwa baada ya mwenzake Parfait Muhani aliyekamatwa mwezi Julai mwaka huu kwa madai hayo hayo ambapo anasubiri kesi yake mbele ya mahakama ya kijeshi.

Next Post

Tanzania ina nguruwe milioni 3.2

Rais Durtete kugombea kama makamu wa rais 2022.

Walimu kuchanjwa kwa lazima chanjo ya UVIKO-19

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:18
  • Today's page views 18
  • Total visitors 13,277
  • Total page views 15,025

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In