• About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Tuesday, January 13, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Mazingira

Makalla kumaliza kero ya ardhi Dar es Salaam

by BAJETI
August 26, 2021
in Mazingira
0
Share on FacebookShare on Twitter

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla anatarajiwa kuanza kusikiliza na kutatua kero za Wananchi wa Mkoa Dar es Salaam wakiwemo wale wenye migogoro ya ardhi.

Hiyo ni sehemu ya mkakati wake wa kuhakikisha kuwa anatataua kero za wananchi katika majimbo yote ya Mkoa wa Dar es Salaam zikiwemo zile za migogoro sugu ya ardhi na kuahidi kila mtu atapata haki yake kwa mujibu wa Sheria.

Makalla ameyasema hayo leo Agosti 26,mkoani Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya mikakati ya kuufanya Mkoa wa Dar es Salaam kuwa wa kisasa ikiwemo usafi.

Amesema ziara hiyo itaanza rasmi Agosti 30,2021 Jimbo la Kawe ambapo Agosti 31 atakuwa Jimbo la Kibamba.

Aidha amebainisha kuwa  September mosi,2021 atakuwa  Jimbo la Segerea,September 2 Jimbo la Mbagala na September 3 Jimbo la Kigamboni ambapo zoezi hilo litaanza kuanzia saa mbili asubuhi hadi majira ya jioni.

Hata hivyo Makalla ameongeza kuwa atafuatana na  jopo la wataalamu wakiwemo Watendaji wa Serikali, Wanasheria, Kamishna wa Ardhi, Maafisa Ardhi, Jeshi la Polisi, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) na wadau wote wanaojihusisha na masuala ya kisheria. Wananchi wote wenye migogoro wameombwa kutumia fursa hiyo kuwasilisha malalamiko yao ili yaweze kupatiwa ufumbuzi kwa mujibu wa Sheria

Next Post

Daraja la Selander lakamilika asilimia 91

Korosho yaongoza uzalishaji mazao ya biashara

Korosho yaongoza uzalishaji mazao ya biashara

Maziwa ya mbuzi yafikia lita milioni 25.7

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:5
  • Today's page views 5
  • Total visitors 13,061
  • Total page views 14,806

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In