Warning: Attempt to read property "child" on null in /home/bajetico/public_html/wp-content/themes/hilonga/class/ContentTag.php on line 45
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Tuesday, January 13, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Habari

Wanahabari 124 wakimbilia Mexico

by BAJETI
August 28, 2021
in Habari
0
Share on FacebookShare on Twitter

MEXICO imetangaza kwamba imekubali kupokea wanahabari 124 na familia zao kutoka nchini Afghanistan ambao walihamishwa baada ya Kundi la Wanamgambo wa Taliban kuteka mji Mkuu wa nchi hiyo Kabul, Agosti 15,2021.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Mexico Marcelo Ebrard na wajumbe wake waliwakaribisha waandishi hao wa habari ambao walikuwa wakifanya kazi na mbalimbali yakiwemo ya kigeni pamoja na The New York Times, katika uwanja wa ndege uliopo Mji Mkuu wa nchi hiyo Mexico City.

Akizungumzia kuwasili kwa waandishi hao wa Kiafghanistan kupitia ukurasa wake wa kijamii,Ebrard amesema Mexico imeamua kuunga mkono maombi ya hifadhi ya kibinadamu.

“Maisha yote ya binadamu ni muhimu, lakini nataka kusisitiza kwamba kundi hili lililokuja Mexico leo linawakilisha uhuru wa vyombo vya habari na haki ya mawasiliano na maadili mengi yanayohusiana nayo.” Amesema Ebrard

Hata hivyo Mexico imesema waandishi hao waliomba ulinzi wa kibinadamu kutoka kwao

Rais Ashraf Ghani wa Afghanistan aliyekimbilia uhamishoni Dubai,Umoja wa Falme za Kiarabu (U.A.E)

Maelfu ya raia nchini Afghanistan wamekuwa wakihamishiwa sehemu mbalimbali duniani wakikimbia utawala wa kundi la Taleban baada ya Serikali ya nchi hiyo kusambaratika.

Baadhi ya nchi zilizowapokean wakimbizi hao ni Uganda,Rwanda,Iran,Tajikistan,Uzbekistan,Pakistan,Ufaransa,Uingereza,Marekani,Canada,Urusi,Uhispania,Albania,Uturuki,India na zingine ambazo bado zinaendelea kuwapokea wakimbizi hao.

Agosti 31,2021 utakuwa muda wa mwisho wa majeshi  ya Marekani na washirika wao kuondoka Afghanistan baada ya kuikalia nchi hiyo kwa miaka 20 kutokana na mashambulizi ya Septemba 11 mwaka 2001.

Next Post
Kuku wa kisasa wafikia milioni 44.5

Kuku wa kisasa wafikia milioni 44.5

Chanjo ya Malaria,Kifua Kikuu kuanza kuzalishwa

Vigogo wa jeshi watimuliwa

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:9
  • Today's page views 9
  • Total visitors 13,065
  • Total page views 14,810

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In