Warning: Attempt to read property "child" on null in /home/bajetico/public_html/wp-content/themes/hilonga/class/ContentTag.php on line 45
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Tuesday, January 13, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Habari

Vigogo wa jeshi watimuliwa

by BAJETI
August 30, 2021
in Habari
0
Share on FacebookShare on Twitter

RAIS  mpya wa Zambia Hakainde Hichilema ameteua wakuu wapya wa jeshi na kuwaondoa wakuu wote wa polisi huku akiahidi kumaliza utawala kandamizi wa mtangulizi wake Edger Lungu.

Hichilema aliyechukua madaraka wiki iliyopita amewahi kukamatwa mara nyingi katika maisha yake ya kisiasa na utawala uliopita.

Kupitia luninga ya Taifa Jumapili ya Agosti 29,2021), Hichilema alitangaza wakuu wapya wa Jeshi pamoja na wale wa Jeshi la Anga na kuwasimamishwa kazi mara moja makamishna wote bila kutoa maelezo zaidi na kuwataka polisi kufanya uchunguzi wa kina kabla ya kuwazuia washukiwa.

Rais mpya wa Zambia Hakainde Hichilema

Alipoapishwa Jumanne wiki iliyopita, Hichilema aliahidi kumaliza ukandamizaji wa kisiasa pamoja na kufufua uhuru wa wanahabari, huku akiwahakikishia kwamba sasa hawatashambuliwa na gesi ya kutoa machozi au kufungiwa shughuli.

Next Post

Wezi waiba chanjo ya CORONA

Zanzibar yaongoza ufugaji Mwatiko

Wizara ya Ulinzi yatengewa bajeti ya Dola Bilioni 50

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:1
  • Today's page views 1
  • Total visitors 13,057
  • Total page views 14,802

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In