Warning: Attempt to read property "child" on null in /home/bajetico/public_html/wp-content/themes/hilonga/class/ContentTag.php on line 45
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Thursday, January 22, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Sayansi na Teknolojia

Wizara ya Ulinzi yatengewa bajeti ya Dola Bilioni 50

by BAJETI
August 31, 2021
in Sayansi na Teknolojia
0
Share on FacebookShare on Twitter

WAKATI baadhi ya nchi duniani zikijiwekea bajeti ya Sh.Trilioni 33 kwa mwaka mzima,Wizara ya Ulinzi ya Japan imezindua bajeti ya dola bilioni 50.

Uzinduzi huo umekuja wakati nchi hiyo ikiongeza matumizi ya kijeshi kufuatia vitisho vinavyozidi kuongezeka kutoka China na Korea Kaskazini.

Kwa mujibu wa DW,Bajeti ya jeshi imekuwa ikiongezeka nchini humo kwa takriban muongo mmoja huku Wizara ya Ulinzi ikionya kuwa mazingira ya kiusalama yanayoizunguka nchi hiyo yanazidi kuwa mabaya.

Wizara hiyo pia imesema inanuia kuongeza uwezo wake wa ulinzi wa anga na usalama wa kimtandao hata hivyo, fedha hizo ni kidogo ikilinganishwa na kiwango kilichoitishwa na Wizara hiyo mwaka uliopita.

Japan inapanga kuanza ujenzi wa meli tano za kijeshi na manowari, pamoja na kununua ndege za kivita aina ya F-35.

Next Post

Sumu yaathiri mamia ya watu DRC

Mwenyekiti Halmashauri Meru ataka wananchi kuchangia maendeleo

Wagonjwa afya ya akili waongezeka

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:17
  • Today's page views 17
  • Total visitors 13,276
  • Total page views 15,024

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In