• About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Thursday, January 22, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Sayansi na Teknolojia

Wezi waiba chanjo ya CORONA

by BAJETI
August 30, 2021
in Sayansi na Teknolojia
0
Share on FacebookShare on Twitter

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, gari lililobeba aina mpya ya chanjo ya ugonjwa wa UVIKO-19(CORONA) limeshambuliwa na kisha wezi kuiba dozi za chanjo hiyo.

Kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Habari la TRT imeeleza kuwa gari lililobeba chanjo za (UVIKO-19)CORONA lilishambuliwa baada ya kutoka kwenye ghala la Wizara ya Afya ya nchi hiyo katika Mkoa wa Yaftabad.

Washambuliaji walilishambulia gari hilo jijini  Tehran, Mji Mkuu wa Iran  na kisha kuiba dozi 300 za chanjo ya UVIKO-19, baada ya kumpiga dereva wa gari.

Mkuu wa Polisi wa Tehran Husein Rahimi amesema kuwa juhudi zinaendelea kuwakamata wezi hao.

Meneja Mkuu wa Mahusiano ya Umma wa Wizara ya Afya ya nchi hiyo Kiyanuş Cihanpur amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

Next Post

Zanzibar yaongoza ufugaji Mwatiko

Wizara ya Ulinzi yatengewa bajeti ya Dola Bilioni 50

Sumu yaathiri mamia ya watu DRC

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:17
  • Today's page views 17
  • Total visitors 13,276
  • Total page views 15,024

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In