Warning: Attempt to read property "child" on null in /home/bajetico/public_html/wp-content/themes/hilonga/class/ContentTag.php on line 45
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Tuesday, January 13, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Habari

Serikali kuwapatia makazi Kaya 644 Magomeni Kota

by BAJETI
September 8, 2021
in Habari
0
Share on FacebookShare on Twitter

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amezihakikishia Kaya zote 644 za wakazi wa Magomeni Kota kuwa  Serikali itawapatia makazi wote wanaostahili.

Amesema makazi hayo yatatolewa kwa wote walioainishwa tokea awali ambapo amewataka kuwapuuza wote wanaosambaza taarifa za uvumi.

Makalla amesema hayo leo mkoani Dar es Salaam wakati alipofanya ziara ya kujiridhisha na kukagua maendeleo ya mradi huo wenye thamani ya Sh.Bilioni 52.1

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla (wa tatu kulia) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Godwin Gondwe (wa kwanza kulia) wakati wakikagua maendeleo ya ujenzi wa Mradi wa Magomeni Kota leo(Picha na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa)

Mradi huo ambapo kwa sasa ujenzi  wake umefikia asilimia 99 ambapo pindi utapokamilika utawanufaisha watu zaidi ya 3,000 kutoka Kaya 644 huku hatua inayoendelea sasa ni kuweka miundombinu ya umeme.

Hata hivyo Makalla amefafanua kuwa mradi utakapokamilika wakazi husika wataitwa na kutangaziwa tarehe rasmi ya kuingia katika nyumba hizo hivyo wawe watulivu.

Makalla amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutekeleza ahadi yake ya kusimamia na kukamilisha miradi yote ya maendeleo na hiyo inajirihidhisha kupitia Mradi wa Magomeni Kota.

Mradi wa Magomeni Kota ulianza October mosi, 2016 ukihusisha ujenzi wa majengo matano yenye ghorofa nane na tisa ambapo wanufaika waliokuwa wakazi wa nyumba za awali kabla ya ujenzi huo wataishi bure  kwa miaka mitano.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla (wa nne mbele)akipata maelezo ya maendeleo ya mradi wa Magomeni Kota leo mkoani Dar es Salaam(Picha na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa)

Next Post

Nyota Klabu ya Simba kuibua vipaji Segerea

Marekani hatarini kufilisika

Arusha kukusanya Bilioni 24 kutekeleza miradi ya maendeleo

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:6
  • Today's page views 6
  • Total visitors 13,062
  • Total page views 14,807

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In