• About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Thursday, January 22, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Sayansi na Teknolojia

Arusha kukusanya Bilioni 24 kutekeleza miradi ya maendeleo

by BAJETI
September 11, 2021
in Sayansi na Teknolojia
0
Share on FacebookShare on Twitter

HALMASHAURI  ya Jiji la Arusha imepanga kukusanya zaidi ya Sh.Bilioni 24 kwa Mwaka wa Fedha 2021 /2022 ambapo asilimia  60 ya fedha hizo zitaenda katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

Kauli hiyo imetolewa hivi karibuni jijini Arusha na Mstahiki Meya wa jiji hilo, Maxmilian Iranghe wakati akizungumza katika kikao cha mwisho cha Baraza la Madiwani kwa Mwaka wa Fedha  2020/2021.

Amesema katika Mwaka wa Fedha 2021/2022 kwenye malengo ya kibajeti wanatarajia kupata kiasi hicho cha zaidi ya Sh.Bilioni 24   ambapo baadhi watazipeleka kwenye miradi ya maendeleo ikiwemo ya Elimu.

Iranghe ameongeza kuwa kwa upande wa mipango miji wamejitahidi kutoa vibali vya ujenzi kwani wanahitaji Arusha inayokuwa kwa kasi na ijengwa kisasa zaidi.

Awali Mkurugenzi wa Halmashauri ya jiji  hilo Dkt John Pima amewataka wananchi kuzingatia ujenzi wa mipango miji kwa kuwa kufanya hivyo kutasaidia kutatua baadhi ya kero zinazoweza kujitokeza dhidi yao. 

Naye Mwenyekiti wa Kamati ya Mipango Miji, Ujenzi na Mazingira ya jiji hilo ambae pia ni Diwani wa Kata ya lemara  Nabot Silas amefafanuwa kuwa wameweka mikakati mingi ya ujenzi katika jiji lao.

Hata hivyo amewataka wananchi kutoharibu miundombinu mbinu kwani wamekuwa wakizuia malengo halisi yaliyowekwa kwa ajili ya miundombinu hiyo.

Next Post

Serikali kumaliza mgogoro Msitu wa Pugu Kazimzumbwi

Wazazi shirikianeni na walimu kutimiza malengo ya wanafunzi

Askofu Kitoi:Tumieni muda vizuri kujiletea maendeleo

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:18
  • Today's page views 18
  • Total visitors 13,277
  • Total page views 15,025

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In