• About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Tuesday, January 13, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Makala

Askofu Kitoi:Tumieni muda vizuri kujiletea maendeleo

by BAJETI
September 13, 2021
in Makala
0
Share on FacebookShare on Twitter

ASKOFU  wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Meru Elias Kitoi amewataka  watanzania na waumini wa madhebebu ya Kikristo kuheshimu muda ili kujipatia maendeleo.

Askofu Kitoi ametoa kauli hiyo leo wakati akifungua Mkutano Mkuu wa 12 wa Jimbo la Kati lilipo katika Dayosisi ya Meru mkoani Arusha uliofanyika katika Usharika wa Makumira wilayani Arumeru mkoani Arusha.

Amesema muda ni kitu kichobadilisha dunia na watu wanapata mali kutokana na kutumia muda wao vizuri lakini kuna watu wengine wanakwenda kwa manabii ili kupata mali wakati wameshindwa kutumia muda wao vizuri..

Amebainisha kuwa  kila mkristo anapaswa kuwa wakili mzuri wa muda wakati wote huku akisisitiza kuwa kumtumikia Mungu ni kitu rahisi na sio kitu cha kushikika wala kuonekana

Kwa upande wake Mkuu wa Jimbo la Kati Mchungaji Abel  Kaaya amewaasa Vijana kuzitafuta fursa ili ziweze kuwaletea maendeleo yao binafsi ikiwa ni pamoja na kutumia muda vizuri.

“Mkutano huu wa 12 tutajadili  na kufanya tathimini ya mambo mbalimbali yaliyofanyika katika kipindi cha miaka miwili iliyopita”amesema Mchungaji Kaaya

Naye Mwalimu Lightness Marko ambaye anamaliza muda wake wa uongozi katika Jimbo hilo ametoa wito kwa viongozi watakao patikana kuifanya kazi ya Mungu kwa bidii bila kuchoka ili kuleta amani na upendo katika jamii na Taifa kwa ujumla.

Next Post

Nyoka wasababisha vifo vya watu 137,000

Serikali yataka uhuru wa kisera kwa nchi zinazoendelea

Wanawake waongoza kumiliki silaha Marekani

Wanawake waongoza kumiliki silaha Marekani

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:9
  • Today's page views 9
  • Total visitors 13,065
  • Total page views 14,810

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In