• About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Tuesday, January 13, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Habari

Marekani hatarini kufilisika

by BAJETI
September 9, 2021
in Habari
0
Share on FacebookShare on Twitter

WAZIRI wa Fedha wa Marekani Janet Yellen ametahadharisha kwamba Serikali ya Marekani inaweza kuishiwa fedha mwezi ujao na amelitaka bunge la nchi hiyo liongeze uwezo wa serikali wa kukopa.

Waziri Yellen ametoa tahadahri hiyo katika barua aliyomwandikia spika wa bunge Nancy Pelosi.

Katika barua hiyo waziri huyo amesema ikiwa Bunge halitaongeza kima cha mikopo,Serikali ya Marekani itaishiwa fedha mwezi ujao wa Oktoba na kwamba kwa mara ya kwanza katika historia yake Marekani haitakuwa na uwezo wa kutimiza dhima zake za kifedha.

Deni la Serikali ya Marekani  liliongezeka kwa kiwango kikubwa wakati wa janga la COVID-19 baada ya serikali hiyo kupitisha mipango mitatu ya matumizi makubwa ili kupunguza athari za kiuchumi zilizosababishwa na janga hilo.

Next Post

Arusha kukusanya Bilioni 24 kutekeleza miradi ya maendeleo

Serikali kumaliza mgogoro Msitu wa Pugu Kazimzumbwi

Wazazi shirikianeni na walimu kutimiza malengo ya wanafunzi

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:5
  • Today's page views 5
  • Total visitors 13,061
  • Total page views 14,806

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In