• About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Thursday, January 22, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Sayansi na Teknolojia

TAIWAN kuipatia Japan mitungi 1000 ya gesi kupambana na UVIKO-19

by BAJETI
September 18, 2021
in Sayansi na Teknolojia
0
Share on FacebookShare on Twitter

WAKATI Dunia ikikabiliana na wimbi la ugonjwa wa UVIKO-19,Japan inatarajia kupokea msaada wa mitungi 1000 ya gesi ya Oksijeni kutoka Taiwan licha ya kuwa nchi hiyo ni miongoni mwa mataifa yaliyoendelea zaidi duniani.

Mbali na kuendelea kwa nchi hiyo lakini pia imepiga hatua kubwa katika Nyanja ya Teknolojia hivyo kupokea msaada huo ni ishara ya wazi kuwa nchi hiyo imeelemewa na wagonjwa wa UVIKO-19.

Hata hivyo Taiwan itapeleka takribani vifaa 10,000 vya kupimia kiwango cha oksijeni kwenye damu, yaani pulse oximeter.

Japan inatarajiwa kupokea msaada huo katika kusaidia wagonjwa wa virusi vya UVIKO-19 wakati huu ambapo nchi hiyo ikikumbwa na uhaba wa vifaa hivyo vya kitabibu.

Mitungi ya gesi ya oksijeni inatumika na watu walioathirika wanaojitibu nyumbani na wagonjwa wanaosubiri kulazwa hospitalini.

Lakini Japani hivi sasa inakabiliwa na uhaba wa vifaa hivyo.

Kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Habari la Japan (NHK) imefafanua kuwa Wizara ya Afya ya nchi hiyo inapanga kusambaza mitungi hiyo kwenye taasisi za tiba na vituo vingine kote nchini humo kupitia serikali za maeneo.

Msaada wa Taiwan unakuja wakati wizara hiyo ikipanga kupata hadi mitungi 500 ya gesi ya oksijeni kwa mwezi kutoka kwa watengenezaji na kuikodisha mitungi hiyo katika mikoa.

Serikali ya Japani awali iliipatia Taiwan takribani dozi milioni 3.4 za chanjo ya virusi vya UVIKO-19 ya AstraZeneca

Next Post

Wazazi waacheni watoto wasome fani wazipendazo

Magugu maji yatishia uhai wa Ziwa Jipe

Magugu maji yatishia uhai wa Ziwa Jipe

Guterres:Ulimwengu hauelekei kufikia malengo vita dhidi ya mabadiliko ya hali ya hewa

Guterres:Ulimwengu hauelekei kufikia malengo vita dhidi ya mabadiliko ya hali ya hewa

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:18
  • Today's page views 18
  • Total visitors 13,277
  • Total page views 15,025

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In