• About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Tuesday, January 13, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Habari

Wazazi waacheni watoto wasome fani wazipendazo

by BAJETI
September 20, 2021
in Habari
0
Share on FacebookShare on Twitter

WAZAZI wametakiwa kuacha kuwashawishi watoto wao kusomea fani wasizozipenda na badala yake wawape uhuru wa kusoma kile kilichopo katika ndoto zao.

Kauli hiyo imetolewa leo wilayani Arumeru Mkoa wa Arusha na Mchungaji  kutoka nchini Kenya wa Kanisa la  Saimoni Nzuwa wakati wa  mahafali ya 12 ya darasa la saba katika Shule ya Haradali ambapo wanafunzi 115 wamehitimu.

Amesema  baadhi ya wazazi wamekuwa wakiwashinikiza watoto wao kusoma fani wasizozipenda jambo ambalo linakwamisha mafanikio ya wanafunzi katika kutimiza ndoto zao.

Pamoja na hayo Nzuwa amewataka wahitimu hao kumcha Mungu Halisi na kuacha kujihusisha na makundi ya anasa

Kwa upande wake Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo Aidan Rwakabuga amesema pamoja na shule hiyo kuongeza kiwango cha ufaulu kila mwaka lakini bado wanakabiliwa na upungufu wa vitabu vya kiada na ziada

Hata hivyo amewataka wanafunzi hao wanaohitimu darasa la saba kuendelea kujituma katika kusoma licha ya kufanya kazi za nyumbani

“Tunawaomba wazazi kuhakikisha kuwa wanafuatilia mienendo ya watoto ili kuepuka sababu mbalimbali zinazoweza kuwakwamisha  kujiunga na Elimu ya Sekondari”amesema Mwalimu Rwakabula

Next Post
Magugu maji yatishia uhai wa Ziwa Jipe

Magugu maji yatishia uhai wa Ziwa Jipe

Guterres:Ulimwengu hauelekei kufikia malengo vita dhidi ya mabadiliko ya hali ya hewa

Guterres:Ulimwengu hauelekei kufikia malengo vita dhidi ya mabadiliko ya hali ya hewa

Nderiananga:Wafichueni watoto wenye ulemavu wa kusikia

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:6
  • Today's page views 6
  • Total visitors 13,062
  • Total page views 14,807

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In