• About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Tuesday, January 13, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Mazingira

Watu bilioni 2.6 hawana fursa kupata nishati safi ya kupikia

by bajeti
November 14, 2021
in Mazingira
0
Watu bilioni 2.6 hawana fursa kupata nishati safi ya kupikia
Share on FacebookShare on Twitter
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres

KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema zaidi ya watu Milioni 760 wanakosa fursa ya nishati ya umeme huku wengine Bilioni 2.6 bado hawana fursa ya kupata nishati safi ya kupikia.

Guterres ameyasema hayo wakati akihutubia mkutano wa ngazi ya juu kuhusu nishati unaofanyika kandoni mwa mjadala mkuu wa wazi wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ambao leo umeingia katika siku ya nne

Amefafanua kuwa ni miaka 40 sasa tangu suala la nishati lilipojadiliwa katika mkutano wa ngazi ya juu, na leo hii dunia inakabiliwa na ukweli kwamba karibu watu milioni 760 bado wanakosa fursa ya nishati ya umeme.

“Jinsi tunavyozalisha na kutumia nishati ni chanzo kikuu cha mgogoro wa mabadiliko ya tabianchi, hewa chafuzi itokanayo na nishati ni takribani asilimia 75 ya gesi yote chafuzi ya viwandani.” 

“Tuna umuhimu mara mbili wa kumaliza umaskini wa nishati na kupunguza mabadiliko ya tabianchi, na tuna jibu ambalo litatimiza maagizo yote mawili, nishati nafuu, mbadala na endelevu kwa wote na  hili ndilo lengo na ni lengo la maendeleo endelevu  namba saba.”amesema Guterres 

Guterres amesisitiza kuwa kuwekeza katika nishati safi, ya bei rahisi kwa wote kutaboresha ustawi wa mabilioni ya watu na kunaweza kuunda ajira zinazojali mazingira.

“Tunahitaji haraka ili kujikwamua na janga la ugonjwa wa UVIKO-19  na pia kutasongesha malengo yote ya maendeleo endelevu na ni suluhisho moja muhimu zaidi la kuepusha janga la mabadiliko ya tabianchi”Amesema Guterres 

Next Post
Serikali  yaandaa mpango-kazi kuondoa matumizi  ya  Zebaki

Serikali yaandaa mpango-kazi kuondoa matumizi ya Zebaki

Serikali  yaandaa mpango-kazi kuondoa matumizi  ya  Zebaki

Tani 24 za zebaki hutumika kuchenjulia dhahabu

SMT:Mshirikiane na serikali  kuzuia uharibifu wa mazingira

SMT:Mshirikiane na serikali  kuzuia uharibifu wa mazingira

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:1
  • Today's page views 1
  • Total visitors 13,057
  • Total page views 14,802

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In