Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa serikali, chama na vyombo vya ulinzi na usalama wa Mkoa wa Songwe wakati alipowasili katika Uwanja Ndege wa Kimataifa uliopo mkoani humo leo kwa ajili ya ufunguzi wa maonesho ya nane nane yanayofanyika kuanzia Agosti Mosi mwaka huu(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
© 2025 Bajeti
Login to your account below
Remember Me
Please enter your username or email address to reset your password.
Discussion about this post