Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango (katikati) akiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali wakati akiondoka nchini Rwanda leo Septemba 8.2022 kurejea Tanzania mara baada ya kumwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika uliofanyika nchini humo. Kushoto ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango na kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda Vincent Biruta.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Discussion about this post