• About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Tuesday, January 13, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Michezo

Tanzania yashiriki Kombe la Dunia kwa Watu wenye Ulemavu.

by bajeti
October 1, 2022
in Michezo
0
Tanzania yashiriki Kombe la Dunia kwa Watu wenye Ulemavu.
Share on FacebookShare on Twitter

ANKARA,UTURUKI

TIMU  kutoka Tanzania ya watu wenye ulemavu Tembo Warriors ambayo ilifuzu kucheza mashindano hayo imeshiriki ufunguzi wa kombe hilo nchini Uturuki

Shamrashamra za ufunguzi wa kombe hilo zimefanyika katika uwanja wa Ulker uliopo nchini Uturuki Septemba 30, 2022.

Mechi ya kwanza itachezwa dhidi ya Uhispania leo Oktoba mosi, 2022 majira ya saa 7:00 mchana.

Katika mechi ya ufunguzi wenyeji  Uturuki wameshinda jumla ya mabao 3-0 dhidi ya Ufaransa

 

 

 

Next Post
Taasisi ya Jai yazitaka halmashauri kutenga fedha kwa wazee

Taasisi ya Jai yazitaka halmashauri kutenga fedha kwa wazee

Nabii Mkuu Dkt.GeorDavie apongezwa kuisaidia jamii

Nabii Mkuu Dkt.GeorDavie apongezwa kuisaidia jamii

Tanzania yaifunga Uzbekistan 2-0

Tanzania yaifunga Uzbekistan 2-0

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:1
  • Today's page views 1
  • Total visitors 13,057
  • Total page views 14,802

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In