• About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Tuesday, January 13, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Habari

Taasisi ya Jai kuendelea kusaidia jamii

by bajeti
October 30, 2022
in Habari
0
Taasisi ya Jai kuendelea kusaidia jamii

Mwenyekiti wa Taasisi ya Jai Juma Mwaipopo (wa sita kutoka kulia mbele) akiwa na maofisa wa Jeshi la Magereza katika Gereza la Segerea jijini Dar es Salaam Oktoba 28,2022 mara baada ya kukabidhi misaada mbalimbali kwa ajili wafungwa.(Picha na mpigapicha wetu)

Share on FacebookShare on Twitter

MWENYEKITI wa Taasisi ya isiyo ya Kiserika ya Jai Juma Mwipopo amesema wataendelea kusaidia makundi mbalimbali ya jamii wasiojiweza ili kuwafariji kutokana na hali ngumu wanayopitia.

Mwaipopo ametoa kauli hiyo leo Oktoba 30,2022  jijini Dar es Salaam siku moja baada ya kukabishi misaada katika gereza la Segerea

Mwaipopo ambaye ni Diwani Mstaafu wa Kata ya Jimbo la Ukonga amesema wameshatembelea na kutoa misaada kwa akinamama wajane,wazee,wagonjwa na wengine wanaohitaji msaada kutokana na kuwa na hali ngumu ya kiuchumi.

“Sisi kama Jai ni wajibu wetu kutoa misaada ya vyakula,nguo,sabuni na hata wakati mwingine kuchangia matibabu kidogo ya wagonjwa ikiwemo damu ili kuwafariji wenzetu kwa kuwa ni lazima tuishi kama ndugu hivyo kusadia wasiojiweza ni baraka pia”amesema Mwaipopo

Mwaipopo amebainisha kuwa mbali na kutoa misaada hiyo kwa jamii lakini pia hawajawasahau watu walioko gerezani ambao kwa wakati na wao wanahitaji msaada hata kama ni kidogo.

Taasisi hiyo tayari  imeshatoa misaada mbalimbali kwa makundi tofauti wakiwemo wajane katika Jimbo la Ukonga na kusaidia baadhi ya wajasiriamali kupata mikopo na wengine kutoa ajira zaidi baada ya kupata mafunzo ya ujasiriamali.

“Pamoja na kwamba tunawakumbuka walioko gerezani lakini pia huwa tunahamasisha watu wachangie damu ili kusaidia wagonjwa wanaojitaji kusaidiwa “ameongeza  Mwaipopo

Next Post
Muungano wa Asasi za Kiraia waiomba Serikali kuangalia Sheria zinazowakandamiza

Muungano wa Asasi za Kiraia waiomba Serikali kuangalia Sheria zinazowakandamiza

Dk.Mpango kuongoza mazungumzo na wawekezaji kuhusu miradi ya kimkakati Ivory Coast

Dk.Mpango kuongoza mazungumzo na wawekezaji kuhusu miradi ya kimkakati Ivory Coast

Kikosi cha Kuratibu Usafishaji Mito na Mabonde chakabidhi taarifa ya Mto Msimbazi

Kikosi cha Kuratibu Usafishaji Mito na Mabonde chakabidhi taarifa ya Mto Msimbazi

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:1
  • Today's page views 1
  • Total visitors 13,057
  • Total page views 14,802

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In