• About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Thursday, January 22, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Mazingira

Kikosi cha Kuratibu Usafishaji Mito na Mabonde chakabidhi taarifa ya Mto Msimbazi

by bajeti
November 1, 2022
in Mazingira
0
Kikosi cha Kuratibu Usafishaji Mito na Mabonde chakabidhi taarifa ya Mto Msimbazi

Waziri wa Nchi Osi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo leo Novemba Mosi,2022, akisalimiana na Mwenyekiti wa Kikosi kazi cha Kuratibu Usashaji wa Mito na Mabonde Mkoa wa Dar es Salaam Dkt. Elizabeth Mshote mara baada ya kukabidhi taarifa ya Mto Msimbazi jijini Dodoma.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira)

Share on FacebookShare on Twitter

NA MWANDISHI WETU,DODOMA

WAZIRI  wa Nchi Osi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt.Selemani Jafo amepokea taarifa fupi ya usashaji wa Mto Msimbazi kutokana na maelekezo aliyotoa hivi karibuni kwa Kikosi cha Kuratibu Usashaji Mito na Mabonde Mkoa wa Dar es Salaam.

Taarifa hiyo imewasilishwa kwa Waziri Jafo osini kwake jijini Dodoma leo Novemba mosi,2022 ,na Mwenyekiti wa Kikosi kazi cha kuratibu usashaji wa Mito na Mabonde Mkoa wa Dar es Salaam Dkt. Elizabeth Mshote.

Hivi karibuni alifanya ziara ya kikazi ya kukagua mto huo katika Kata ya Mogo Mtaa wa Kipawa baada ya kupokea malalamiko kuhusiana na athari za kimazingira zinazotokana na usashaji wa mto huo.

Hata hivyo, wakati wa ziara hiyo baada ya kusikiliza maoni ya wananchi alipata maoni yanayokinzana ambapo wengine walidai shughuli za usashaji mto huo zimeleta athari kwa mazingira na wengine wakidai zimeleta manufaa makubwa kwa jamii inayozunguka eneo hilo.

Itakumbukwa Februari 2021 Waziri Jafo alikutana na wadau wanaojishughulisha na uchimbaji mchanga katika mkoa huo kujadili changamoto za kimazingira zinazotokana na uchimbaji mchanga kiholela kiholela katika mito na mabonde ili kuweka utaratibu mzuri.


Waziri wa Nchi Osi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira)
Dkt. Selemani Jafo leo Novemba Mosi,2022, akipokea taarifa ya Usashaji wa Mto
Msimbazi kutoka kwa Mwenyekiti wa Kikosi kazi cha Kuratibu Usashaji
wa Mito na Mabonde Mkoa wa Dar es Salaam Dkt. Elizabeth Mshote
alipoiwasilisha ofisini jijini Dodoma.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira)

Kikao hicho kiliwezesha kuandaliwa Mwongozo wa usashaji mito utakaotumika katika Mkoa wa Dar es Salaam kwa lengo la kuondoa mchanga, taka ngumu na tope ili kupunguza au kuondoa madhara ya mafuriko ambao ulitolewa kwa mujibu wa kifungu cha 57 (2) cha Sheria ya Usimamizi wa Mazingira ya mwaka 2004.

Next Post

Ivory Coast

Dkt.Mpango:Tanzania ni sehemu sahihi ya kuwekeza

Dkt.Mpango:Tanzania ni sehemu sahihi ya kuwekeza

Ukame waua Tembo 205, Nyumbu 512

Ukame waua Tembo 205, Nyumbu 512

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:18
  • Today's page views 18
  • Total visitors 13,277
  • Total page views 15,025

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In