Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip Mpango (wa kwanza kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wakuu wa nchi na serikali kutoka baadhi ya mataifa ya Afrika pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Dr. Akinwumi Adesina (watatu kutoka kushoto) mara baada ya kumalizika kwa ufunguzi wa Jukwaa la Uwekezaji Barani Afrika leo Novemba 2, 2022 linalofanyika Jijini Abidjan nchini Ivory Coast.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Discussion about this post