• About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Tuesday, January 13, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Habari

Wananchi wanaosababisha nchi kuwekewa vikwazo kuadhibiwa

by bajeti
November 25, 2022
in Habari
0
Wananchi wanaosababisha nchi kuwekewa vikwazo kuadhibiwa

Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa

Share on FacebookShare on Twitter

HARARE,ZIMBABWE

SERIKALI ya Zimbabwe imepitisha Muswada wa Sheria ya kuwaadhibu wananchi wasio wazalendo, ikiwa ni sehemu ya kukabiliana na vikwazo vya kiuchumi dhidi ya taifa hilo la kusini mwa Afrika.

Waziri wa Habari wa Zimbabwe, Monica Mutsvangwa aliwaambia waandishi wa habari Novemba 24,2022 jijini Harare kuwa, Baraza la Mawaziri la nchi hiyo limepitisha muswada wa sheria hiyo inayokusudia kuwaadhibu Wazimbabwe wanaohujumu maslahi ya taifa hilo.

Sheria hiyo itakayojulikana kama “Sheria ya Uzalendo’ itawaadhibu wananchi wa Zimbabwe wanaoeneza taarifa kwa nchi za Magharibi ili ziiwekee vikwazo nchi hiyo.

Aidha sheria hiyo inataka adhabu ya lazima kwa watu wanaopatikana na hatia katika kesi za ubakaji na mauaji, na pia imetoa tafsiri pana zaidi ya ‘mihadarati hatari’ mbali na kurekebisha kipengele kinachozungumzia jinai ya matumizi mabaya ya ofisi (mamlaka).

Hata hivyo vyama vya kisiasa nchini humo vimepinga sheria hiyo na kuitaja kuwa ya kifashisti na inayokanyaga katiba ya nchi.

Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) mara kwa mara imekuwa ikitoa mwito wa kuondolewa haraka na bila masharti yoyote vikwazo dhidi ya Serikali ya Zimbabwe.

Vikwazo hivyo vilivyowekwa mwaka 2002 na Marekani, Uingereza na Umoja wa Ulaya, ambavyo ni pamoja na vizuizi vya kibiashara na kifedha, vimeikwamisha Zimbabwe kuboresha uchumi wake na ustawi endelevu

Next Post
Mradi wa LDSF wasaidia wananchi kumiliki ardhi

Mradi wa LDSF wasaidia wananchi kumiliki ardhi

Dkt.Mpango:Viongozi wa dini  saidieni kulea vijana kimaadili ili Taifa liwe kwenye mikono salama

Dkt.Mpango:Viongozi wa dini saidieni kulea vijana kimaadili ili Taifa liwe kwenye mikono salama

TBA watakiwa kutekeleza miradi inayozingatia ubora na gharama nafuu

TBA watakiwa kutekeleza miradi inayozingatia ubora na gharama nafuu

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:1
  • Today's page views 1
  • Total visitors 13,057
  • Total page views 14,802

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In