• About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Tuesday, January 13, 2026
  • Login
Bajeti
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo
No Result
View All Result
Bajeti
No Result
View All Result
Home Habari

Kiwango cha kuzaliana chashuka Japan,yashuhudia watoto chini ya 800,000 wazaliwa kwa mwaka

by bajeti
April 2, 2023
in Habari
0
Kiwango cha kuzaliana chashuka Japan,yashuhudia watoto chini ya 800,000 wazaliwa kwa mwaka

Waziri Mkuu wa Japan Kishida Fumio

Share on FacebookShare on Twitter

TOKYO,JAPAN

SERIKALI ya Japan imeanza kuonja athari za uzazi  wa mpango baada ya kushuhudia kushuka kwa kiwango cha watu kuzaliana.

Kushuka huko kwa kiwango cha kuzaliana kimeishtua Serikali ya nchi hiyo na kuahidi kuanza kutoa ruzuku kwa watoto hadi watakapofika elimu ya sekondari ikiwa ni jaribio la kukabiliana na hali inayoendelea ya kushuka kwa kiwango cha kuzaliana nchini humo

Nchi hiyo iliyo jirani na China,Korea Kusini na Kaskazini imeshuhudia mwaka 2022 kuzaliwa watoto wachache chini ya 800,000  ikiwa ni rekodi ya chini zaidi.

Hata hivyo Serikali ya nchi hiyo imepanga kutoa malipo kwa watoto watakaozaliwa hadi  watakapohitimu sekondari ya juu.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Aprili Mosi,2023 na Shirika la Habari la Japan (NHK) imeeleza kuwa Japani inapendekeza uboreshaji wa huduma za matunzo ya watoto na ongezeko la ruzuku za serikali ili kukabiliana na hali hiyo..

Mapendekezo hayo ni sehemu ya ahadi ya Waziri Mkuu wa nchi hiyo Kishida Fumio kuchukua kile alichokiita “hatua za kipekee” kushughulikia tatizo hilo.

Idadi ya watoto wanaozaliwa inapungua kwa kasi kuliko ilivyotarajiwa ambapo Serikali ya nchi hiyo ilitoa rasimu ya kwanza ya mapendekezo yake Machi 30,2023,lengo likiwa  ni kuyatekeleza ndani ya kipindi cha miaka mitatu kuanzia Aprili 2024.

Mapendekezo hayo yanajumuisha kuondoa ukomo wa kipato katika ruzuku za serikali kwa wazazi na Serikali inapanga kuja na muhtasari wa bajeti kwa ajili ya mapendekezo hayo kufikia mwezi Juni mwaka 2023.

 

Next Post
Ekari Milioni 5.2 za Misitu kurejeshwa  ifikapo 2030

Ekari Milioni 5.2 za Misitu kurejeshwa ifikapo 2030

Sayansi,Utafiti na Ubunifu vyasisitizwa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050

Sayansi,Utafiti na Ubunifu vyasisitizwa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050

DODOMA

Bashe:Hatutumii GMO lakini hatuwezi kuacha kuijua

Discussion about this post

Contact us:

BAJETI COMMUNICATION

info@bajeti.co.tz
bajetinews@gmail.com
+255718699828
P.o.BOX 18133,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Category

  • Habari
  • Magazeti
  • Makala
  • Mazingira
  • Michezo
  • Picha
  • Sayansi na Teknolojia
  • Siasa

Our Visitors

  • Today's visitors:5
  • Today's page views 5
  • Total visitors 13,061
  • Total page views 14,806

Kuhusu Tovuti Hii

Hii ni tovuti ya habari iliyojikita katika kuandika  habari za kina   zikiwemo za mazingira kwa lengo la kuelimisha na kuuhabarisha umma.

Subscribe

  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

© 2025 Bajeti

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Mazingira
  • Magazeti
  • Makala
  • Picha
  • Michezo
  • Matangazo

© 2025 Bajeti

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In